SIMULIZI: IKAWE KHERI MY DUFFER . MTUNZI: TINNER ROBER. SEHEMU: 03. 0746638941 (Wtsp).
ANZA NAYO.
Lunnah Hakumjibu zaidi ya kainamisha kichwa Chini akizidi kutafakari swali la Imlany... ENDELEA....
Safari Yao walifika Hadi kwenye jengo Moja kubwa la kifahari, Imlany Alifika na kupaki gari Kisha alimfungulia mlango Lunnah na kumkaribisha.
"" Karibu Nyumbani Duffer wangu!! na ujisikie Kama upo Nyumbani kwenu!!!""
"" Ahsante Duffer!!""
Waliingiwa Hadi ndani na kufikia sebuleni. Imlany alimuita Mdada wa kazi.
"" Ratifa!!! Huyu anaitwa Lunnah!! Mtakuwa nae hapa siku zote naomba umpe ushirikiano!!!""
"" Sawa Kaka Imlany!! Lunnah Karibu Ujumuike na familia yetu!! " Harafu Kaka Ancle kuniachia funguo ya ofsini kwake utaenda kumsaidia kusainisha mikataba ya watumishi!!!""
""" Sawaa!!! Usijari!! Lunnah Ngoja nikuache kidogo!! Nifike ofisini Mara Moja Kwanza!!!""
"" Sawa Duffer!!!!""
Lunnah Alikalibishwa pale Chakula Cha mchana Baada ya kumaliza. Ratifa Alimchukua na kumpeleka Hadi kunako chumba chake.
"" Lunnah hiki ndio Chumba utakuwa wakitumia siku zote!! Kama wapumnzika Sasa Ni ruksa kulala!!!""
Ratifa Aliondoka na kumuacha Lunnah akizidi kukiangalia kile chumba lakini akili yake haikuwepo kabisa sehemu hiyo Alizidi kuwaza.
'" Chumba kilivyoandaliwa Ni Kama siku ile kwa Madam nilivyopokelewa ndivyo ivyoivyo!!!""
Ilibidi Aoge Kwanza Kisha aliamua kujilaza kitandani mpaka usingizi ukamchukua Kama masaa mawili hivi. Alikuja kusituka kwa Ndoto Mbaya Alimuona Mr. Leonard kamfata akihitaji kumbaka. Alisituka na kupiga kelele, Mpaka kelele zake zikamfikia Ratifa na kumfanya aje upesi upesi.
""" Nini tenaa!! Ratifa?? Wataka kunambia Ni Ndoto Mbaya waota!!!??""
"" Aaa!! Aaa!! Hapana ndoto ya kawaida tu, Samahani nipatie maji ya kunywa Kwanza!!!""
"" Kunywa Sasa!!! But umeniogopesha ujue!! Harafu Kuna zawadi Kaka ako!! Sijui mnaitana Duffer kanipa simu nikupatie Kama unashida utakuwa wamtafuta!!!""
"" Duffer jamanii!! Mbona hata namba yake sinaa!!!?""
Ratifa alichukua simu na kuiwasha Kisha alienda Moja kwa Moja kwenye Majina alisarch na kumuonesha.
"" Jina Alilisev ili usisumbuke kutafuta namba yake!! Jina lenyewe Alisave. " My Duffer!! ""
"" Ooh!! Sasa Mimi salio nitakuwa natoa wapi jamanii!!??""
"" Keshakuungia la Mwezi!!!""
"" Waooo Duffer!! I love you!!""
Ratifa Alizidi kumutizama usoni Lunnah, na kubaki akicheka TU.
"" Lunnah!!! Unampenda Duffer wako!!?"
Lunnah!!! Ndio Anakumbuka neno alilolitamka aliona Aibu na kuinamisha kichwa Chini.
"" Aaa!! Ratifa!!! Nilikosea bhana!! Mi simpendi Duffer!!!""
Ratifa Aliamua kuondoka na kumuacha Lunnah!!! Akiwa bado kainama. Ile anatoka tu, Mlango ulijifunga!!!
""" Heeee!! Rahaa!! Hii jamani leo nitachart!!! Nitaview wasanii mmoja Baada ya mwingine!!! Nitacomment Kama Chizi!! Nahisi bundle sahii tu litaisha!! Na hiyo Lady Liar!! Nilivoipania duuuuh!!! Ngoja niwashe data Kwanza!! Harafu hata kufungua akaunt Fb sijui!! Hata hivyo Nitamwambia Duffer anifungulie!!""
Ilikuwa Ni Jioni Lunnah!!! Alikuwa na ratifa wakisaidiana kuandaa chakula Cha usiku!! Baadae waliivisha na kuweka chakula mezani huku wakimsubili Imlany na Ancle waje!! Waliamua kuwasha taarifa ya habari Kwanza huku wakisikiliza matukio.
Imlany na yeye Alikuwa tayari Amefika, Alifika na kuwasalimia wote kwa pamoja, Kisha alikaa na kusubili Chakula kipakuliwe.
"" Leo nataka Duffer wangu!! Apakue chakula nataka usiwe na aibu aibu hapa Ni kwenu nataka uzoee mazingira!!!""
Lunnah Aliinuka na kuanza kupakua Chakula!! Huku akiwa anatetemeka mikono.
Imlany Alitambaa Hilo ilibidi amshike mkono Huku akimtania.
"" Duffer Wangu!! Mbona muoga hivyo!! Vipi Kama utamwaga kwa uoga wako!! Ayaa Ancle huyo anakuja!!!""
Lunnah Alisituka Baada ya kumuona Ancle kaja!! Alishuka chini kimya kimya na kukaa tuliii!! Kisha Alimsalimia kwa woga!! "" Shikamoo Ancle!! Huku akitetemeka!!""
Imlany na Ratifa ilibidi waangue kicheko na kumfanya Lunnah ajihisi Ni mnyonge!!
Ancle aliamua kumshika mkono Lunnah!!
"" Ancle!! Mbona unakuwa Mwoga kiasi hicho!!! "" Okay!! Basi tuendelee kulaa!!!
Lunnah Alikula kwa uoga Sana Kisha aliamua kuondoka na kuelekea Moja kwa Moja chumbani kwake huku akizidi kupumua kwa shida Sana!!
Imlany ilibidi Na yeye aache kula kwanza!! I'll ajue shida ya Duffer wake!!. Alimkuta Lunnah kakaa kitandani Huku akipumua kwa haraka Sana!!
"" Duffer!! Nini kimekupata tenaa!!! Mbona Ni ghafura Sana umebadilika!! Au nilikosea kumwambia unakuwa muoga nisamehe basii!! Sitarudia Tena Duffer!! "$awa si umenisamehe!!??!""
Lunnah Aliamua kumkumbatia Imlany kwa Nguvu!!
""Hapana usiwe na hofu!! Duffer wako hawezi kumfanya Duffer wake akose Raha hata siku moja!!! Ni vile tu nimekumbuka mbali siku ya Leo but Mimi Nipo vizuri kabisa!!""
Imlany ilibidi amuachie kwanza Lunnah Kisha alimgeukia na kumtizama machoni na kumshika mabega kwa mikono miwili.
"" Maneno unayosomea Ni ya Ukweli!!?? Nimeogopa Kweli mpaka hamu ya kula imeisha!!""
"" Naweee!! Mwoga tu, mie Nipo vizuri bhana!!!""
"" Usirudie kuwaza hivyo na Mimi nikiwa karibu!! ""Sawaa!!!??""
"" Sawaa Bhana!! Mimi nataka kalala!!""
""Okay!! Usiku mwema!! Kumbuka kunywa maji mengi!!!""
Imlany alipoondoka tu, Lunnah alijirusha kitandani na kuanza kugalagala.
"" Sheat!!!! Huyu Mzee mbona siku yenyewe Alikuwa kwenye danguro na siku yenyewe Alikuwa na yule msichana aliekuwa analalamika!! Kumbe Ni Ankoo!! Wa Imlany!!!!? Siku yenyewe nilimchungulia dirishani akiwa anatoka so yeye!! Na siku moja nilimuona anaongea na Madam ili atafutiwe Mrembo!! Vipi Kama atakuwa kanijua itakuwaje!! Na wakati Imlany keshamwambia Mimi Ni ndugu wa Karibu Sana na rafiki ake Rich!!!
Aliamua kuchukua simu yake Baada ya kusikia sms imeingia, Alikuta Ni ujumbe unatoka kwa rafiki yake My Duffer!!
"" Hakikisha unashusha neti!! Harafu punguza mawazo kwa sasa Ni usiku wa kusinzia na siyo kugalagala unaumiza kitanda!!""
Lunnah Baada ya kusoma ujumbe wa Imlany, Alijikuta akiachia tabasamu tu.
"" Jinga Kweli Duffer!! Et naumiza kitanda!! Wakati Ancle Ndio anaumizaga vitanda vya kule Casino!!""
Huku upande wa Ancle!! Usiku kucha hakulala akimfikilia Lunnah!! Haka katoto kadogo kamechoka kujiuza Huko harafu Leo hii kanakuja kuniharibia Mwanangu Imlany!! Nitakuja kukafanya mbayaaa!!!""
Ancle alishidwa kustahimili kwa hasira aliyokuwa nayo ilibidi aende kwenye chumba Cha Lunnah!! Na kufika akimgongea mlango kwa hasira.
"" Lunnah!!; Fungua Mlango!!! Tafadhari!!??
Lunnah Alisituka toka usingizini Baada ya kusikia sauti ya Ancle ikibisha hodi. Alitoka haraka haraka na kufungua mlango!!
Ancle alimuwahi na kumkaba shingoni huku akimsukumia ukutani.
"" Niambie!! Wewe Mwanaharamu umetumwa Nini kwenye familia yangu!?? Au Ni Nini wakitaka kwa Mwanangu Imlany!!??""
"" Hapana Ancle!! Mimi sikuja kuharibu familia yako!! Na Wala Sina shida kabisa na Imlany!!""
"" Ukitaka kuwa na amani hapa naomba TU!! Kila kitu unachokijua kuhusu Mimi hakikisha mtu yeyote asijue na kuhusu kwenye Cassino Sitaki hata Madam ajue Kama Wewe waishi kwangu sawaa!!! Ole wako nisikie!!!"
Ancle alimuachia pale na kubaki Lunnah kashikilia shingo yake kwa maumivu aliyoyapata sio ya Nchi hii. Aliishia kukaa chini huku akizidi kulia.
"" Duffer!! One day nitakaa mbali na Wewe kwa khari ninayoiona hapa!!""
Ni Siku nyingine tenaa!! Ratifa Aliwahi kuamka na kuendelea na kazi Lakini kwa Lunnah siku hiyo alikuwa bado kalala mpaka ikafikia saa nne hajaamka bado.
Imlany aliamua kumpigia simu Lunnah. Lunnah ndio anasituka na kuangalia simu yake aliona Ni namba ya Duffer ikimpigia, Alipokea simu.
"" Hellow Duffer!!!!"
"" Mbona huonekani kwenye Breakfast!! Kulikoni Leo unaumwaa!!??""
"" Najisikia vibaya tu!! Naona Ni mafua na Koo laniwasha!!""
"" Sasa umelala!! Pasipo kumeza dawa utaponaje?? Ratifa nimemuita huku afanye mahemezi ya chakula Cha mchana Kuna mgeni atafika leo!!!!?
"" Sawaa!! Ngoja niamke nikatafute dawa Kwanza!!;""
"" Usijari dawa atakuja Nazi Ratifa!!!""
"" Sawaa!! Duffer!!"
Muda kidogo Tayari Ratifa Alikuwa kafika huku akiwa amebebelea mapochopocho ya hapa na pale. Alifika huku akimuita!! Lunnah!!! Lunnah!!!
Lunnah!! Alikuwa tayari yupo jikoni akichemsha uji.
"" Nipo hapa!! Mbona waniita kwa sauti hivyooo!!!""
"" Sikujua bhana!! Mbona wakoroga uji?? Harafu Duffer wako kanambia unaumwa Koo!! Kwani ilimekuwaje Tena!!" Au Ndio ndoto zako za kuota waweweseka usiku!!""
Lunnah Alishika shingo take huku akikumbuka mkiki mkiki was Jana usiku aliamua TU kumjibu.
"" Mafua bhana!! Ndio yananisumbua vipi nimesikia Kuna mgeni atafika leo!! Kwani anakuja sangapi?? Na Ni Nani au Ndio Shangazi!!??""
"Wewe tulia TU!! Usiku mgeni utamuona!! Harafu nikwambie!! Sogea Kwanza nikung'ate sikio. "" Yule Ni Wifi yetu kwa Duffer wako!! Siku zote Alikuwa masomoni!!!""
Lunnah Alisituka kidogo baada ya kusikia Ni Wifi take kwa Duffer!! Aliuliza tena kwa kushangaa.
"" Yaani Duffer!! Means Imlany hafu wifi yangu Mimi!!!""
"" Eee!! Wifi yetu!! Kumanisha mke wa Imlany mtarajiwa!!!""
Lunnah alitoka pale kakasirika. Alielekea Hadi bafuni na kufunguliwa kok ya maji kwa speed ya juu Kisha alianza kunawa huku akizungumza pekee.
"" Yaaani!! Duffer!! Wifi yangu!! " Duffer Ana mke anaoaa!! Duffer!! "Wifi anakuja!! ""Mke wa Duffer yupo Nyumbani!!!""
Lunnah Alikuwa akirudia maneno Mara mbilimbili huku akizidi kunawa.
,,,,,, Itaendelea,,,,,,,
Usikose sehemu ya 04.
Usipitwe na mkasa huu!! Nini kimemkuta Tena Lunnah!!!
Like, comments, Share!! Tatizo huwa mwanikatisha tamaa!!!