Ikawe Heri 2

 SIMULIZI: IKAWE KHERI MY DUFFER .                            MTUNZI: TINNER ROBER.                          SEHEMU: 02. 0746638941 (Wtsp).


ANZA NAYO.


" Rich nikukute Nje Kama Nusu saa hivii!! Huyu Manzi nitamfanya afurahie TU,na hatojuta kuniona siku zote Kama nakuwa mbali nae...."" ENDELEA....


Lunnah!! Alimtizama Imlany na kuzidi kulia.

   "" Sorry Naomba usinidhuru Tafadhari usiniharibie maisha yangu!! Nisamehe nitakulipa kiasi chochote Cha pesa!!""


Imlany alizidi kumtizama Lunnah anavyozidi kulia, Alimsogelea na kumkumbatia Kisha alimpatia mkono Huku akiachia tabasamu kubwa.


Lunnah Alibaki akimtizama tu Imlany Kisha aliamua kumuuliza.

 "" Imlany hautonidhuru Tenaa!!!??"


 "" Wataka nikudhuru Tena?? Why nakupatia mkono harafu hutaki kuniunganisha na mkono wako!! Mimi siwezi kukudhuru Wewe!!?.


  "" Niokoe Kwanza!! Tafadhari usinifanyie kitu kibaya!!""


   "" Lunnah!! Najua Wewe bado Ni binti mdogo na una ndoto nyingi Sana katika maisha yako Mimi siwezi kukuharibia maisha yako ila naahidi kukupigania tu!! Now!! Niite Duffer Na Wewe nikuite My Duffer.""


   "" Sasa ndio Nini!! Mana'ke!!??


   "" Duffer!! Means rafiki wa dhati!! Namanisha nataka uwe rafiki yangu kwenye shida na raha!! Shida yangu iwe shida yako na shida yako iwe shida yangu!!!""


Lunnah Aliona Ni Kama Ndoto anaota, Mara alisikia sauti chumba Cha pili Kuna Mdada mmoja alikuwa anapiga kelele akiomba msaada.


Kuna sauti ya kiume ilisikika ikiwa sambamba na Dada huyo.

  "" Wewe tulia, Sisi wenyewe pesa tunazitafuta kwa jasho, sio kwamba hatuzipendi muda mwingine twataka tuzifurahie na watoto wadogo!! Wewe subili mshahara wako kwa madam!!""


Lunnah Alisikia sauti ile ilimfanya azidi kulia Sana Huku akizungumza kwa majonzi Sana.

  "" Hata Wewe Imlany ndio huwa wawafanyia hivi wadada kwanini Lakini unakuwa hivyo!! Sikwamini pia najua na Wewe ndio walewale!! Unaniletea at nikuite Duffer Kumbe wataka nipoteza!!!"


Lunnah Alitoka fasta na kuelekea Hadi mlangoni kufungua mlango. Alifika na kuanza kuufungua kwa pupa.


Imlany Alichukua funguo na kuiangusha chini, Ndipo Lunnah anasikia sauti ya funguo, Aligeuka haraka ili aokote funguo lakini Imlany alimuwahi na kumkumbatia tu.

   "" Lunnah!! Nimekupa nafasi ya Wewe kuwa My Duffer!! Mimi nitakulinda siku zote!! Mbona huniamini kiasi hicho!! Mimi na Wewe kwa Sasa Ni marafiki!!!""


Muda kidogo Mlango uligongwa. Walikuwa Ni wafanyakazi wa Madam wametumwa, 

 "" Hellow Mr. Imlany!!! Muda wako Tayari umeisha madam anakuita!! Kama utaendelea kuwa na Lunnah!! Kaongeze pesa Kwanza!!!""


   "" Sawa nakuja!! Imlany ilibidi aongee Kwanza na Lunnah!!


 "" Siku zote nitakuwa Nakuja kukuona na leo nitaenda kutoa pesa kwa Madam!! Ili mtu mwingine asikudhuru harafu hakikisha ukitoka humu asijue mtu kitu kilichoendelea ndani Mimi na Wewe wao wajue kusudi lao limetimia!! 


Imlany Aliamua kuondoka na kumuacha Lunnah!! asiamini kabisa Kama kasalimika siku hiyo!!!


Imlany Alifika Hadi kwa Madam na kuongea nae!! Kisha alimpatia pesa nyingi mpaka madam alibaki kaduwaa!!

 "" Imlany!! Mbona pesa Ndefu Sana!! Au wamaanisha Nini??"


  "" Nimekuamini kwa kile kitu ulichoniambia ndivyo nilivyokuta but pesa iliyoongezeka Nimeamua kumnunua Lunnah!! muda wote atakuwa wangu na sitahitaji mtu mwingine amguse Mimi Ndio mumiliki halisi wa Lunnah kuanzia leo, na muda mwingi nitakuwa naja kumuona!!""


Imlany Alisimama pale na kuondoka kuelekea kwenye gari lakini kwa mbali Alimuona Lunnah anakuja taratibu Huku akiingia kwenye chumba Cha Madam. Imlany ilibidi apige hon ili amsitue Lunnah.


Lunnah na yeye alisikia sauti ya gari Ilibidi ageuke kumtizama Imlany kwa hofu!! Ndipo alimuona Imlany anampungia mkono Huku akimuita.

 "" My Duffer!! My Duffer!! Kisha alifunga kioo na kuondoka!!


Huku kwa Madam alikuwa akijaribu kumpamba Tena Lunnah kwa mavazi yenye thamani, lakini Kuna kitu alikuwa anakiplan moyoni kwake!!

  "" Naona kwa Imlany Kuna kitu kapata kwako Ndio maana kaamua kuongeza pesa!!! Hapa lazima nikupambanishe kwa mtu mwingine ili nipate pesa nyingine najua haujaharibiwa kivile hata tembea yako ilikuwa Ni Nzuri najua bado u kigori!!??""


Siku iliyofuata Madam alikuwa akiongea na boss mmoja kwenye simu a akimpatia maelekezo.

  "" Ooh Mr. Mbona!!! Ni binti mzuri tu Ana mwili mdogo mdogo hivi si najua na Wewe huwa wapenda dogo dogo!!"


  "" Sawa nakuja!!!


Madam!! Alimuchukua Lunnah na kumpeleka kwenye chumba kimoja kilichokuwa kimeandaliwa vizuri. Alimfikisha na kumketisha pale Kisha alimwambia.

   "" Imlany wako!! Katoa Order leo atakuja kukutembelea hapa!! Hivyo hakikisha unamsubili hapa!!""


Madam Aliondoka na kumuacha pale Lunnah akiwa amekaa. Lunnah Alisimama na kufunga mlango Kisha alijitupia kitandani na kubaki akirukaruka tu.

  "" Leo ukija Imlany sitakuita Imlany Tena!! Siku ya leo nitaanza kukuita Duffer!! Leo nitaongea mpaka nihakikishe unanitoa hapa!!""


Ghafura mlango uligongwa. Lunnah Alisimama na kukimbia kufungua mlango, lakini Alisituka Baada ya kumuona mtu tofauti na Imlany, ilibidi atoe kichwa nje aangalie Kama kuna mtu mwingine nje kabakia.


Alisituka Baada ya kuvutwa mkono wake Kisha aliangukia kitandani, Huku sauti ya nzito ya kiume ilikuwa ikizungumza.

  "" Binti mdogo mdogo!! Unatumia mwili wako kupata pesa!! Najua una wengi wanatafuta bahati ya kuwa na kigori Kama Wewe!! Ila Mimi nimewawahi wote!! Hakika Leo Ni usiku wa Mr. Leonard na Lunnah!!!


Lunnah alianza kujitetea Alichukua funguo iliyokuwa karibu na meza ili aweze kujitetea.


Mara alisikia mlango unagongwa. Mr Leonard alimwachia Lunnah na kutoka Hadi nje, Alifika na kukutana na Mdada wa chakula alikuwa kaleta.


Huku kwa Lunnah Aliona Ni afadhari atumie chance hiyo ili aweze kuondoka. Mdada wa chakula alipofungua Mlango tu Lunnah Alitoka chap Kisha aliwafungia mlango na kutoka anakimbia.


Alikimbia Hadi kwenye bustani Moja iliyokuwa imejaa maua mbalimbali, alitazama ua lililokuwa limetanda vizuri Kisha aliamua kutulia pale Huku akizidi kulia.


Sehemu hiyo hiyo Alikuwa amekaa, Aliona gari inaingia pale  ile anatazama vizuri alimuona Imlany anashuka. Kwa pupa aliyokuwa nayo alitoka pale anakimbia Moja kwa Moja kunako gari, Huku akizidi kuita.

  ""My Duffer!!! Nimimi Lunnah!!!"


Imlany ilibidi ageuke kunako sauti inatoka ndipo anamuona Lunnah anakuja kwa mbio. Ilibidi amsubili ajue Ni kipi kimempata.


Lunnah Alifika na kumkumbatia Imlany Huku akiangua kilio kikubwa.

 "" Kwanini lakini!! Umekawia kuja kwaajili yangu!! Leo hii ningebakwa!! Hivi Ndio Wewe?? Uliyeniaminisha nitakuwa salama!!??""


Imlany hakumuelewa' Lunnah!! Anamanisha Nini!!? Ilibidi amgeuze mbele yake na kubaki akimtazama vizuri.

  "" Lunnah!!! Hebu punguza Jaziba Uongee ukiwa umetulia vizuri!! Nini kimekupata??""


  "" Madam kaniletea mwanaume leo!! Alinipeleka chumbani na kunambia Imlany atafika lakini muda kidogo aliingia mwanaume mwingine na kutaka kunibaka, baadae nilipata upenyo wa kukimbia Baada ya Mdada wa chakula kuingia nikawa nimetoka ila nilichoamua nikuwafungia komeo kwa nje namimi nikakimbia, hofu yangu nilijua nisipomfungia atanikimbiza!!""


Imlany Alimkumbatia tu Lunnah!! Na kubaki akimtia moyo.

  "" Duffer wa Kweli siku zote huwa anaumia pale anapoona chozi la Duffer linapotililika, usijali Mimi nitakuwa na Wewe Siku zote!!!""


Imlany alitoka pale kachukia, Alielekea Hadi kwa Madam na kufika akimfokea.

  "" Wewe Ni Muuaji!! Pesa yote niliyotoa bado hujarizika nayo!! Kama mkataba unavyosema Kama nitamhitaji mtu ninaweza kumnunua kwa pesa yoyote!! Kwasasa nimekuja kumalizia kiasi Cha pesa na Leo namalizia ntaondoka na Lunnah!!""


Madam alikosa Cha kujitetea ilibidi apokee ile pesa ya Lunnah kununuliwa na Imlany Kisha alimpatia mkataba asaini, Kisha alimpatia na Lunnah asaini.


Muda huohuo Mr. Leonard na yeye aliingia pale Huku akiwa na hasira, Alifika pale na kumkaba Madam akiomba arudishiwe pesa yake.


Madam aliona ili kujinusuru na kelele zitakazoibuka pale ilibidi achukue pesa iliyotolewa na Imlany na kukata nusu yake na kumpatia Mr Leonard. 


Mr Leonard Aliondoka Huku alimwachia maneno makali.

 "" Kwa tabia hii uliyoianzisha!! Nikienda nikirudi ukanifanyia Kama leo!! Nitahakikisha nakukata akiba yangu juu kwa juu!! Na ukizidi kunisumbua Nyaraka zako ninazo nitapeleka police."

 

Huku kwa Imlany Alimchukua Lunnah na kuondoka nae Hadi kwenye gari. Lunnah aliingia huku akiwaza Mambo mengi Sana!!

   "" Huku Ninakotoka na ninakoenda sijajua usalama utakuwa wapi??""


Imlany Alizidi kumtizama Lunnah kwenye seint mirror, na kumuona Ni mtu mwenye Mawazo Sana!! Ilibidi amgeukie tu.

  "" Mimi na Wewe tu marafiki tu!! Wewe Ni Duffer wangu!! Niamini Basi!! Hivi umewahi jiuliza,Why! Hujiulizi Mimi nakubebaba tu huko kukuamini nimetoa wapi??""


 Lunnah Hakumjibu zaidi ya kainamisha kichwa Chini akizidi kutafakari swali la Imlany...



  ,,,, Itaendeleaa,,,,,,,,,

Usikose sehemu ya 03.


Nini kitafuata Baada ya Lunnah kuhamia makazi mapya!!??


Like, comments, share.


I

Joseph

Karibu tuweze kujadili na kupakua habari mpya zilizojili Afrika, Tanzania na pia hata Kidunia kwa ujumla

Chapisha Maoni

I, (taja jina lako/indicate your name)

Mpya zaidi Nzee zaidi