ROMA...
Kwahiyo mnatuonesha ziwa huku mmeficha chuchu...
Tukiongelea kutekwa mnasema tunarudia agenda, Mbona hamsemi Mama anarudia Kiremba...
Anaechelewesha Msafara Siku zote ni Ng'ombe wa mbele ila anachapwa wanyuma na ndio anaepiga kelele...🙌🏿❤️
Dini gani mchungaji akitaka gari tunamchangia, muhumini akitaka gari anamuombea tunamsalia sasa mchungaji tusimpe pesa tumuombee na yeye pia tukae palee tusubili miujiza ya Wagalatia...🙏🏾
Wimbo mpya wa Roma mkatoliki
Weka mstari wako ulioukubali zaidi kwenye wimbo huu, hapo kwenye Comment..