"Uthubutu na kujiamini kwa vijana ni silaha tosha kwa maendeleo binafsi na hata kwa kukuza uchumi wao" Julius Musingi

 Jumanne tulivu hivi Lugembe Media katika uzinduzi wake wa application yao mpya ya Lugembe Blog tulipata nafasi ya kufanya mahojiano kwa njia za mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kijana mthubutu na mpambanaji kutoka Chuo kikuu Cha Dar Es Salaam hapa namzungumzia


Bw. Julius Musingi ambaye ndiye Mkurugenzi Mtendaji wa Musingi Fundi pia ni mdhamini mkubwa katika Blog ya Lugembe Blog ambapo alijaribu kuuambia umma jinsi gani alivyoanza na kufanikiwa kuendesha masuala mazima ya kufungua taasisi inayoshughulika na itoaji wa vifaa na misaada mbalimbali kwa watoto yatima ilhali yeye bado anapiga kitabu chuoni hapo ambapo katika mahojiano hayo Julius musingi alisema

Lakini pia kijana huyu akiwa chuoni hapo amekua akionesha vijana wenzake uthubutu katika masuala mbalimbali ambapo chuoni pia anashirikiana na vijana wengine wana taasisi yao ambayo yeye ni mwanzilishi lakini CEO amekua ni mwanzilishi mwenza ambapo hii inabeba picha kwa vijana kwamba wawe na uthubutu kwa mambo ya kimaendeleo. Katika hili Musingi anaonekana kama kijana jasiri aliyeweza kupiga hatua na kuwafikia mabalozi wa nchi za Marekani waliopo Tanzania na kuwapa wazo na wao mwisho wa siku wakampa njia na sasa anaendesha Musingi fund kwa ufadhiri wa watu wa Marekani.

Pitia baadhi ya maswali na majibu ya Kituo chetu ambapo Musingi Fund walihojiwa na Happyness Phares 




Usisahau kupakua App yetu kwa kubonyeza neno lenye wino mzito hapo chini.


DOWNLOAD APP



Joseph

Karibu tuweze kujadili na kupakua habari mpya zilizojili Afrika, Tanzania na pia hata Kidunia kwa ujumla

Chapisha Maoni

I, (taja jina lako/indicate your name)

Mpya zaidi Nzee zaidi