Tuanze mwaka na Benazir Badru.

 FIRST LOVE.

MWANDISHI BENAZIR BADRU.

SEHEMU YA 1.

BOOKING 0659 387908.


Dar - es- salama  nyumba moja ya kitajiri sana alikuwa akiamshwa mtoto moja mvulana wa miaka kama 9 au 10 na wafanyakazi wake  ,alikuwa akiitwa prince Amir .   " Prince amka uende shule  kumekucha sasa alikuwa mfanyakazi wake akimuamsha. Amir alichukua shuka na kujifunika nakuendea kulala tu . " Yani Amir ukimuamsha mkorofi sana ajishaue wewe kitandani kwanza ndo amke hapo alikuwa mfanyakazi wake Tino akilalamika. " Amir nimesema sitaki kelele zenu kwanza mnanisumbua hapa nikilala aliendelea kuvuta shuka . 


Tino alimuliza kwanini unazarau wewe mtoto unataka tuje kupigwa mabao na mama ako kwa ajiri yako ? aliongea uku akitia huruma. Kidogo walisikia sauti ikiita Amir baby uku ikija chumbani .


" Eeeeh Madam Aisha anakuja chumbani kwako alikuwa Tom . Amir alibidi amke fasta ili asiwaponze wenzake japo alikuwa mvivu lakini alikuwa ana huruma kwa wafanyakazi na watu masikini. Madam Aisha aliingia chumbani na kumkuta Amir alikielekea kuoga.


" Nyie wapumbavu mmekaa adi sahivi amjamtaarisha mwanangu unataka achwe na school busy au ? Alikuwa Aisha.  Amir alisema" Mama mwenye makosa sio ao ata nikiachwa nitapanda daradara mbona alafu mbona mimi sitaki school busy mama .


"Madam Aisha aiwezekani mtoto wangu wa kipekee upande daradara ingawa mama ako anauwezo aliendelea  baba ako kafa kaniachia mali zote mimi na wewe mlithi wangu .  Amir alichukia sana na kutoka kakasilika kwenda bafuni tu . Amir akiwa yupo bafuni aliwaza mbona sipo huru sasa kufanya ninachokipenda kila ukiulizwa unaniaibisha mimi sitaki niishi maisha aya ya kitumwa ,napenda kucheza kama watoto wengine mama ananikataza ." Akiwa yupo bafuni kwenye mawazo anasikia akigongewa mlango , alibidi aulize nani ? Alisikia sauti ni mimi nimetumwa nije kukuogesha haraka. Amir alishtuka kidogo akiangalia umri wake na vitendo anavyofanyiwa dah kweli pesa sabuni ya roho .


Amir alijibu naoga mwenyewe ok asante , alioga na kutoka bafuni walitaka kumpaka mafuta Amir alikataa niacheni napaka mwenyewe. Amir alijitaarisha mwenyewe na kutoka chumbani uku akiwa akiwa anapiga miruzi .

.

                    

               *****************


 Kufika nje anakuta wafanyakazi kibao wakimsubiri atoke " Happy birthday to you ,happy birthday to you happy birthday prince happy birthday to you.  Amir wawoow thanks you kwa wote kwa kunisurprince marafiki zangu . " Wanasikia sauti nyie mnafanyaje mmeacha kazi zenu mmekaa tu tokeni mkaendelea na kazi zenu alikuwa madam Aisha .


"Amir akupenda kile kitendo cha mama ake alichowafia wafanyakazi alivimba uso . Madam Aisha aliona ile ali ya mwanae kukosa furaha alibidi amuimbie yeye mwenyewe happy birthday to you lakini Amir alitoka kwa hasira akiwa analia na kwenda nje alipanda gari lao na kwenda shule. 


Madam Aisha alijisikia vibaya sana kumuuzi kijana wake wa kipekee siku ya kuzaliwa . " Alijiseme na jua nakunyima furaha mwanangu sema sitaki uongozane na watu masikini wasinauwezo akati wewe ni prince na KING wa makampuni yote badae I'm sorry mwanangu kwa hilo kukuchagulia marafiki.


Amir alikuwa kwenye gari akiwa anamawazo sana ana uhuru kama watoto wengine japo mama ake anampenda sana lakini amuachi uhuru.  " Akiwa yupo dirishani mvua ikinyesha alimuona binti ambaye mwenye makamo kama yake kapisha nae kidogo tu .


" Yule binti alikuwa akienda shule na mvua bira mwavuli kajipanza kwenye mdizi tu. Amir alimuonea huruma sana alimwambia" dereva simamisha gari .


"Dereva mmmmh prince naogopa mama ako aliniambia nisiwapandishe gari  watu atanifukuza kazi. Amir aliuliza nini ? Nimesema simamisha gari kama utaki na shuka hapa mbaka utii amri zangu. Dereva alibidi simamishe gari na kwenda kumchukua yule binti kumpandisha kwenye gari  ....


Yule binti alikuwa maisha duni sana ata gari kupanda mara moja mara moja. " Alimshukuru Mungu sana na kumshukuru Dereva kwa kumsaidia. 


Dereva alimwambia"  mshukuru prince uyo ndo kakusaidia. Yule binti alimshukuru sana Amir kwa kumtoa kwenye mvua  . Amir usijali sana nakuanza kumuliza unasoma wapi ? lakini kabla ajamuliza yule binti alimuomba ashuke na akashuka.


Amir alibidi akae kimya nakuendelea na safari akiwa anawazo sana na yule binti ambaye asiyemjue ata jina . Nakujisemea" nitampa wapi tena rafiki kama uyu mimi  ambaye simjui ata jina alikiwa yupo kwenye mawazo ghafla aliangalia vizuri na kukuta kibanio  chake.

Amir akuamini kukuta kibanio chake alifurahi na kukiweka kwenye begi nakujisemea"  nitakuona tena swaiba.



Yule binti alikuwa akiitwa Babi , Babi alikuwa akiishi na mama ake mdogo Tandale. Mama ake alifariki dunia na baba ake akubatika kumuona na wala amjui. Mama  ake mdogo alikuwa akiitwa Mwanaisha ana watoto wa wili Zuwena na Zena . 


Babi alivyoshuka kwenye alielekea darasani kwenda kusoma uku akiwa anawaza. Amir nae aliendelea na Safari adi shule yao ilikuwa fedha primary school kufika tu anakuta wanafunzi wezake wakimsubiri kwa hamu.


" Issac eeeh bora prince ulivyokuja aliongea uku akimfuta kumbatia .


Amir yes tell kuna tatizo lolote lile?  aliuliza. Isaac alijibu ndio kuna tatizo kuna mdada asipo kuona atulii darasani , asomi kwa raha anahaa tu..


Amir alicheka sana nakumuliza nani uyo ? ghafla anasikia sauti ikimuimbia happy birthday to you , happy birthday to you , happy birthday you prince happy birthday to you . Amir aligeuka nyuma alimkuta mtoto moja hivi aitwaye Monica alibaki kutabasamu na kumkumbatia.


Je prince Amir na Monica wanajua 


Itaendelea .


Happy New year fans shukrani kwa kunisupport 2021  na kunifanya niwe queen.

Joseph

Karibu tuweze kujadili na kupakua habari mpya zilizojili Afrika, Tanzania na pia hata Kidunia kwa ujumla

Chapisha Maoni

I, (taja jina lako/indicate your name)

Mpya zaidi Nzee zaidi