Don't Cry Another Love Episode 4

MWANDISHI: CHRIST AMAD

SIMULIZI: DON’T CRY ANOTHER LOVE

SEHEMU YA 04




                 Ilipoishia

  **** Tinnah aliamua kuifungua ile bahasha ndani alikuta kuna barua  moja iliyoandikwa kwa maneno ya kiarabu,yalikuwa yametafsiliwa kwa Kiswahili;maneno hayo yalisomeka kama DON’T CRY ANOTHER LOVE.maneno hayo yalimpa wasiwasi mwingi Tinnah.        




Tembelea tawi la Platinum kwa huduma zaidi
Au Piga simu Nambari 0627 772 962 / 0743 798 113



Songa nayo sasa baada ya udhamini mkubwa kutoka Platinum Credit Ltd

Wanakwambia sasa unaweza kufanya Top Up na huduma nyinginezo nyiiingi tembelea tawi lililokaribu yako kufahamu zaidi.

        Twendelee na hadithi yetu

                      **** baadae akaamua kuludisha ile bahasha kwa begi lake na safari iliendelea, walikuwa wamebakiza kama masaa matatu waingie kibiti, usingizi ulimchukua Tinnah, alishitusha na kelele za wapiga debe, kumbe mda huo walikuwa tayali wameingia stend; kaka mmoja alisikika akisema , ‘’jamani wale mbagala njia tatu , wa rufiji Chuoni, twende tukamwagane  mbele. Tinnah!! Alishuka na kupanda gari kuelekea kibiti chuoni,

          ****Hatimiye Tinnah!! Alifika shuleni moja kwa moja aliulizia ofisi ya mwalimu mkuu akaelekezwa,mwalimu mkuu alimpokea Tinna  na mahitaji yote aliyokuja nayo aliambatanisha, mwalimu alimuitia kiongozi wa darasa akamchukua Tinnah! Na kwenda naye darasani, Tinnah alifika darasani na kuketi, hakuwa na rafiki Ilimchukua kuwa na upweke sana mana alimzoea rafiki ake ,  i JESTINNER, muda huo Jestinner alichelewa kidogo kuripoti kutokana na mambo ya hapa na pale kuingiliana kwa Tinnah ilimpa upweke sana ,

             *********alichukua kitabu chake cha ANATOMY,Alianza  kukifunua  na kuanza kujisomea, mara aliguswa bega, upande wa kulia aliinua uso wake na kumtazama nani aliyemgusa . kaka mmoja alimpa mkono kama ishara  ya salamu; mambo dadaa”Naitwa BARACK

, wewe waitwa nani, umgeni hapa?? Mi naitwa TINNAH!! Ni mgeni hapa, nimefika jana nipo mwaka wa kwanza. +++oooh! Hongera sana mi nipo mwaka wa pili hapa chuoni, samahani dada wewe mwenyeji wa wapi??—Tinnah; //mimi mwenyeji wa  Mwanza. Barack; ok karibu sana , mimi mwenyewe mzaliwa wa Mwanza but sijakulia hko nimekulia kigoma UJIJI, ndo nimesomea huko na advance nilisomea  KIGOMA HIGH SCHOOL, ‘’ mazungumzo yaliendelea, stori za hapa na pale zilinoga. Tinnah alijikuta kamzoea sana Barack kwani ndie rafiki yake wa karibu sana kutokana na ucheshi wake.

             ****Ilikuwa ni siku ya Jumamosi, siku hiyo chuoni ilikuwa ni siku yakuwakalibisha wanachuo waliojumuika kujiunga na mwaka wa kwanza, kwa Tinnah! Ilikuwa ni siku nzuri kwake kwani rafiki, yake kipeenzi JESTINNER, alikuwa anakuja na mda huo alikuwa tayali kafika stend, tayali kapanda gari  ya kuelekea chuoni,Tinnah alikuwa na shauku sana ya kumwona  rafiki yake japo walipishana kama wiki moja na nusu tu hawaonani, alimsubili kwa hamu sana.,,

<<< huku maandalizi ya sherehe yakipamba moto. ++Mara simu yake iliingia sms ilitoka kwa Jestinner,     

                 ‘’’my DUSK, Nimefika nipo hapa getini, nimekumisi sana  natamani nikuone teena ungejitokeza basi mbele yangu, ilikuwa ni sms ya Jestinner alisend kwa Tinner;

               Tinner aliisoma ile sms hakuwa na jeuri ya kwaenda kumwona, kwani sheria isingemluhusu kwenda kumpokea,                                                                                                                                                   ^^^Jestinner alifika moja kwa moja kwa ofisi ya mkuu alikabidhi vifaa, badae alielekezwa sehemu ya kwenda, Tinner alimdaka rafiki yake nakuelekea kwenye bustani iliyokuwa na mti mkubwa wenye kimvuli  kilichovutia, walikaa pale na kupiga story mbalimbali za mda  mfupi hawakuonana, badae walisitushwa na kengele iliyowajulisha mda wakuanza  tukio lenyewe,

 watu wote walielekea kwenye HOLL kubwa kwa ajiri ya sherehe hiyo, ++Sherehe ilipamba moto. ******kila mtu alishiriki  na kuonesha mbwembwe zake ;

            *** Mara Barack alikuja na kumnong’oneza Tinner; wewe si ulinambia,, wewe mtunzi wa mashairi, na tamthiliya mbalimbali, nimepeleka jina lako tayali jiandae halafu na rafiki yako anapenda sana maswala ya DUNCING ulinambia,, leo mutuoneshe vipaji vyenu

         ,JESTINNER alisituka duuuuuh!! Tinnah, yani mbele za watu wote hao mi siwezi, labda nikusindikize wewe ukatoe ile simulizi yako siku nyingi ulipanga utasimulia hadithi ya JESTINNER, naomba leo ukasimulie maana ya neno ‘’ JESTINNER’’ Leo itapendeza sana,

       DAAAAAAH!! MY Dusky sijajipanga kwa leo halafu sijaikamilisha ile simulizi bado;

         BARACK, Akamwambia Tinner, ‘’ basi jiandae bado kama watu wawili inafata zamu yako na jestinner, na nimepeleka jina JESTINNER, Usiwaze mandalizi mema , Barack aliondoka na kwenda kukaa sehemu yake.

                                                                                                                                                                                     *-                     **            **Mara sauti ya MC, Ilisikika kikundi kinachofuata ni Dadas’ makofi kwao kabla sijawaita , wanatokea kanda ya ziwa  wakati wakiwa wanakuja, wawekee  dance sebene  kuwakalibisha ni watu wakubwa wananukuu taarifa zilizopo hapa,  makofi kwao, MC, Aiongeza mbwembwe zake kuvutia umati uliokuwa umefurika mahali pale; DJ,walete  ,,,,wanavyuo wote walitoa macho kuangalia kina nani hao na inavyosikika ni mwaka wa kwanza wanakuja kutumbuiza, wanamapya gani nao.                +---+++’’’’’’TINNAH , JESTINNER,,Waliinuka taratibu wakiinuliwa na music kwa mbwembwe zote nakujinadi uwanjani macho ya watu wote waliwatazama kwa makini wakisubili mazuri kutoka kwao

                                             ************JE NINI KITAFUATA KATI YA JESTINNER NA TINNER, NA VIPI KUHUSU SIMULIZI YA TINNER??? USIKOSE SEHEMU YA 05.

                                        

Joseph

Karibu tuweze kujadili na kupakua habari mpya zilizojili Afrika, Tanzania na pia hata Kidunia kwa ujumla

Chapisha Maoni

I, (taja jina lako/indicate your name)

Mpya zaidi Nzee zaidi