Ni siku nyingine tena tunapoianza wikiend huku tukijaribu kuangazia zaidi maisha ya wasanii chipukizi na wasanii wakongwe
Basi leo blog yenu imependa kuangalia safari ya kimuziki ya msanii anayejulikan kama Pino wa Daily
Pino jina halisi Emmanuel Malubalo
Ni msanii anae kuja kwa kas kwan ameachia hit yake inayokwend kwa jina la Sitakitena inayofany vizur kweny vituo vya television kama #TvE,Eatv na Cloudstv
Ameiambai blog matarajio yake ktk mzik ni kuweza kujipanua na kuwa msanii mkubwa kimataifa Sitaki tena ni nyimbo ambayo imehusisha hawa wafuatao:
Audio produced by Elly da bway
Studio:Home town records
Pamoja na hayo msanii huyo ameiambi blog mara baada ya kuwa katika nafasi ya kimataifa atahakikisha anainua wasanii chipukizi upcoming artists na kuwafanya wawe katika kiwango kinachokubalika zaidi. Basi leo nimekuelezea kwa ufupi zaidi safari ya kijana huyu usikose kufuatilia tena segment hii inayokujia kila jumamosi ikiwa na lebo ya JIWE LA GIZANI hapahapa katika blog yako tukufu na pendwa JOSEPH LUGEMBE

Pino wa Daily |
Kuitizama nyimbo ya Pino bonyeza hapa
Tags
Jiwe la wiki