Karibu uitazame nyimbo ya Membar Skay

Membar Skay anakualika kuitazama latest video yake ijulikanayo kama My Jojoo 

 Msanii huyo alipata nafasi ya kuizungumzia video yake hiyo katika kipindi cha MALADHA na watu wake kinachoendeshwa na Lugembe Tv kila siku za Ijumaa katika youtube channel na hupostiwa siku za JUMAMOSI 
Membar skay alisema 'muziki ni kipaji na ninaposema muziki ni kipaji ninamaanisha ufundi wa kuitumikia sauti yako kufikisha ujumbe katika hadhira unayoikusudia'
'Ndugu zangu karibuni tuitazame nyimbo yangu hii ikiwa inapatikana katika blog ya arithmeticmediagroup.blogspot.com na pia msisahau kusubscribe katika youtube channel Lugembe Tv na kwa habari za uhakika ingia katika blog ya lugembejoseph05.blogspot.com uajipatia story zenye kuburudisha akili yako ewe mpenda updates' alisema.
      Na kufikia hapo nakukaribisha kwa moyo mkunjufu tuitazame videohiyo ya msanii wetu, damu yetu, raia mwenzetu. Twende sawaaaaaaa
 

Joseph

Karibu tuweze kujadili na kupakua habari mpya zilizojili Afrika, Tanzania na pia hata Kidunia kwa ujumla

Chapisha Maoni

I, (taja jina lako/indicate your name)

Mpya zaidi Nzee zaidi