Membar Skay aelezea Mafanikio yake juu ya Ujio wake pale Igunga Sakao Morden Inn

Karibu tusome kwa pamoja habari hii tuweze kujua yapi yalitukia ninayekukaribisha ni mimi mwanahabari wako Amon W. Butemele

            *Msanii wa Bongo fleva Membar G. Yohana aka Membar Skay ameibuka na kuzungumzia mafanikio aliyoyapata pindi alipotembelea katika wilaya aliyozaliwa(Igunga) na ndipo alipoweza kuelezea kwa undani mafanikio ya safari hiyo




Picha picha hiyo ndio  ilikua kielelezo cha ujio wake
Msanii huyo alitumia mbinu zake kufika Igunga kwa kuandaa tamasha lililojulikana kama Usiku Wa Maladha   ambapo alilenga kuleta ushindani wa kisanii akikutanisha makundi mawili kama yalivyoainishwa katika kielelezo hapo juu na hatimaye "Mungu hamtupu Mja wake" msanii huyo alifanikiwa akishirikiana na uongozi mzima wa maladha for life 
Taarifa kutoka katika uongozi wa juu wa maladha zinasema Membar alifanikiwa katika show yake lakini mbali na hapo aliweza kuwatia moyo na kuhamasisha wasanii wadogo waliokata tamaa kukaa msuli ili mambo yao yaende sawa huku akisema BIDII YA MSANII NDIO MAFANIKIO YAKE. Msanii huyo anatalajia kuachia nyimbo yake mpya kabisa aliyomshirikisha Msanii mkali wa masauti Christian Bella

hivyo amewataka na kuwaomba mashabiki wakae mkao wa kula kuisukuisubiri nyimbo hiyo

Joseph

Karibu tuweze kujadili na kupakua habari mpya zilizojili Afrika, Tanzania na pia hata Kidunia kwa ujumla

Chapisha Maoni

I, (taja jina lako/indicate your name)

Mpya zaidi Nzee zaidi