Na Esther Adam
Mashabiki wa mchekeshaji maarufu Joel Misesemo maarufu kama MC Joe kutoka Mwananyamala wanaomboleza baada ya kupokea habari za kusikitisha za kifo chake.
MC Joe aliruka kutoka ghorofa ya saba ya jengo katika eneo la biashara kwa sababu ambazo bado hazijajulikana. Kulingana na mmoja wa walinzi wa usalama katika jengo hilo, mchekeshaji huyo alisema alikuwa anakwenda ghorofa ya kumi na tano alipoingia.
Baba yake Joe, Madison Chizi, aliambia Lugembe Media kuwa marehemu alikuwa ni mtu mwenye furaha ambaye hakutoa dalili za kusumbuliwa na jambo.
Kuwa wa kwanza kupata habari motomoto kutoka kwa Mhariri wetu Mkuu JISAJILI THANK YOU! Check your email and confirm your subscription You are already subscribed to our newsletter! Check your inbox to be the first to know the hottest news Mwanzo Burudani BURUDANI MC Joe: Mchekeshaji Maarufu Ajirusha Kutoka Ghorofa ya 7, Mashabiki Wamuomboleza Jumatano, Mei 24, 2023 at 12:17 PM na Adlyne Wangusi Mashabiki wa Joel Misesemo maarufu kama MC Joe wameshtushwa sana baada ya mchekeshaji huyo kuanguka kutoka ghorofa ya 7 ya jengo moja jijini Wengi wao wanashindwa kuelewa ni kwa nini mtu ambaye alionekana kuwa na furaha na afya aliamua kumaliza maisha yake Kulingana na mlinzi, MC Joe alimwambia kuwa anaelekea ghorofa ya 15, lakini alijisikia chini baada ya dakika chache MAKINIKA: Tusaidie kubadilisha maisha ya wengi, jiunge na programu ya Patreon kutoka TUKO.co.ke. Mashabiki wa mchekeshaji maarufu Joel Misesemo maarufu kama MC Joe kutoka Mwananyamala wanaomboleza baada ya kupokea habari za kusikitisha za kifo chake. MC Joe: Mchekeshaji Mpendwa Afariki Baada ya Kuanguka Kutoka Jengo, Marafiki Wamuomboleza. Chanzo: Facebook MC Joe aliruka kutoka ghorofa ya saba ya jengo katika eneo la biashara kwa sababu ambazo bado hazijajulikana. Kulingana na mmoja wa walinzi wa usalama katika jengo hilo, mchekeshaji huyo alisema alikuwa anakwenda ghorofa ya kumi na tano alipoingia. Baba yake Joe, Madison Chizi, aliambia Ayo TV kuwa marehemu alikuwa ni mtu mwenye furaha ambaye hakutoa dalili za kusumbuliwa na jambo. RECOMMENDED FOR YOU Jamaa Kakamega Mwenye Wake 15 na Watoto 107 Afichua Siri ya Ndoa Yake MAKINIKA: Jinyakulie habari ZINAZOKUFAA ➡️ tafuta “IMEPENDEKEZWA KWA AJILI YAKO” na ufurahie! "Tumethibitisha kwamba ni yeye aliyefariki leo. Ambacho hatujui ni nini kilichompelekea kuchagua njia hiyo kwa sababu alikuwa ni mtu wa furaha na mpenda familia," alisema. Mashabiki kupitia mitandao ya kijamii walitoa pole kwa familia na kumtaja Joe kama mtu ambaye kila mtu alimpenda. Mmoja wa mashabiki Mama'ake Brian alikumbuka wakati ambapo alikuwa kwenye hafla na Joe kama MC na karatasi aliyokuwa akishikilia ikaruka mbali kwenye upepo. Alipomwona ikienda mbali, aliamua kwamba itakuwa shida sana kuitafuta, hivyo aliisahau na kuendelea na hafla hiyo. "Nakumbuka wakati tuko Masaki kwenye hii event ya Gemima Mabula BBM nilishika karatasi flani kwa bahati mbaya ile karatasi ikaniponyoka na kupeperuka kutokana na upepo mkali kule juu ikaanguka chini upande wa pili mm nikasema basi tena. Kumbe ulikuwa ukiitazama ilipokuwa inaangukia....mm nimekaa sina habari kuja kutahamaki kumbe ulishuka hadi chini kwenda kunifatia ile karatasi nakuja kutahamaki unaniambia haya karatasi yako hii hapa."
Chanzo tuko.co.ke