Mke Mwema by Benazir Badru

 MKE MWEMA.

MTUNZI BENAZIR BADRU.

SEHEMU YA 1.

BOOKING 0659387908.


Mapenzi majani huota popote , mapenzi majani huota popote naweka na dhiri kukupenda baby wajue wazi na kupenda baby.  Kasimu mganga ajakosea kuimba hivyo alimaanisha kuwa mapenzi huota kwa mtu yoyote ukampenda japo amjuani .



Dar es salama kwenye nyumba moja ilikuwa  ya kawaida kulikuwa binti wa wili . Mkubwa alikuwa akiitwa Najma na mdogo alikuwa Rukia. Rukia alikuwa mpole sana mwenyewe huruma sana kwa watu . Dada ake Najma alikuwa mashauzi sana mpenda vizuri mtu mwenye tamaa sana.


Rukia alikuwa anasoma chuo udsm na anakaa hosteli . Dada ake alikuwa muajiriwa wa kampuni furahani ambayo sio yakiserikali . Wazazi wawo wote walikuwa wapo hai  kwahiyo walikuwa wakiishi na Wazazi wao nyumbani.


Siku hiyo ilikuwa ni siku ya mapumziko ya wiki Najma akuenda kazini wala Rukia akuenda chuo.  Najma alikuwa akimchukia mdogo wake bira kosa lolote .  " Wewe mpumbavu kavue kanga yangu kwani mabwana zako awakununulii kanga au? alimuza. Rukia alivua dada lakini mimi mbona umenivua kanga tu mimi mbona umevaa shati yangu sijakuvua. Najma eeeh katangaze na spika basi watu wajue kuwa leo nimevaa shati ya masikini na semwa adi kelo hapa.  " Aliendelea kusema acha roho mbaya masikini wewe na kumpiga singi mdogo wake. Rukia alianza kulia tu masikini ya Mungu dada umezidi kunionea sababu mimi sijui kuongea sawa bhana .


Najma alisema " na mimi siongei na masikini kwanza acha kujiliza hapo ujapigwa na mtu yoyote uku akimvuta nywele . Rukia dada niache unaniumiza mimi jamani uku akimtoa mikono. 


Kidogo Mama yao alirudi eeeeh kulikoni asubuhi yote hii mnapiga nyie tu .  Rukia alijibu dada uyo kaanza uchokozi wake mara nimevaa kanga yake povu kibao akati yeye anavaa nguo zangu .


" Mama siumemuona mwanao alivyo na roho mbaya eeeh kuvaa kishati kenyewe kinanuka jasho tu  alisema Najma na kupiga singi uku akiingia ndani. Mama Najma yani Najma unaroho mbaya wewe mtoto mbona unatesa mdogo wako leo nipo hai  nikifa je ? aliuliza.


Najma alisema" mama tatizo unamdekeza totolako na jua mimi unipendi sawa bhana endelea na toto lako ilo yeye uyo aliingia ndani na kufunga mlango.  Rukia alichukua vitu na kuanza kupika dada ake akutoka kumsaidia ata kidogo.  Rukia alivyomaliza kupika alitenga na kuenda kumuita mama ake na dada wa kazi.  Mama Najma alienda kukaa na kula uku akimuuliza jini kisirani yupo wapi jamani ? aliuliza.


Rukia alitoka na kwenda kumuita dada ake aje kula.  Najma nimesema sitaki kula chakula chenu msije kunitilia sumu. Rukia alivyojibiwa vile alijikia vibaya na kutoka uku akijisemea "mimi naweza kumtilia sumu dada angu kweli.


 


              *******************


Rukia alitoka nakwenda kukaa mezani  uku akiwa na udhuni . Mama ake alimuuliza mbona dada ako yupo wapi ? aliuliza.


Rukia alijibu dada kasema aji anaogopa tutamtilia sumu maana atumpendi . Mama Najma uyu mtoto ana mambo ya ajabu ningetaka kumuua ningemulia tumboni , alitoka nakwenda adi chumbani kwa Najma. 


" Wewe shetani fungua mlango muone kwanza unaroho mbaya kama nini mtoto , ebu fungua mlango kwanza. Najma nimesema hii nyumba na hama nakuacha na toto rako yani ashukuru mdogo wangu wa damu tu bira hivyo ningemtimua.


Mama Najma alimwambia" acha roho mbaya muone kwanza ndo maana uolewi kubwa nzima kwajili ya roho mbaya yako . Najma alijibu ndio ndo maana nawambia wachawi tu wewe na mwanao mwanga.


Mama Najma alijibu asante sana mama umekua eeeh nakuonda zake  kukaa mezani uku akilia . Rukia alimfuta unalia nini mama mimi nilikwambia achana nae dada ubishi tu unacheki nyamaza kulia mama sasa alibembeleza.


" Kweli uyu mtoto ni wangu au nimebadirishiwa reba mimi mtoto roho mbaya yeye , ujeuri ndo kabisa yani kama ana rahana  vile aliongea Mama Najma . Rukia alijibu msameeh bure labla ana pepo tumuombe Mungu.


" Sio pepo nikujiendekeza tu  anarazi sijui alirogwa au kaugua mwezi mchanga Najma arudi tumboni kama nitamzaa tena mtoto wa vile aliogea kwa uchungu.


Itaendelea.


First Love nimekatisha atayeitaji mia nane tu namba 0659 387908 , 0756748557

Joseph

Karibu tuweze kujadili na kupakua habari mpya zilizojili Afrika, Tanzania na pia hata Kidunia kwa ujumla

Chapisha Maoni

I, (taja jina lako/indicate your name)

Mpya zaidi Nzee zaidi