Siku zote unaambiwa "ujanja ni kupata na sio kuwahi!" You will know......
Captain Kiss na Madame Shantiwa |
Ebhanaa hii imekua ni kawaida sana kwa vijana kupiga pindi na kutumia muda wa ziada kutafta mapene (online/hustles za hapa na pale). Juzi kati imetokea fursa MulaEmpire wana wakajaa ikaenda wapo walovuna mpunga na wengine kuachia sadaka mtandaoni badala ya kanisani au msikitini lakini haikutosha si unajua mpunga hauongei wala hautoshi hata kama utavuna kivipi bado utahitaji upate. Wahuni......! Upliner mmoja kadaka mchongo akausambaza sehemu mbalimbali lakini mambo juzi kati hapa yakawa sio mambo (system updating) kampuni ikiwa inafanya kusasisha mfumo kuna wadau wameibuka wakianza kububujika machozi muda wote wakilia na mchongo huo maana boom loote waliwekeza huko na ndio hapasomeki sasa!
.
Upande wa pili kuna mmakonde kama ujuavyo Ukimuamsha alolala utalala wewe Babeeeeeki.....😂😂😂😂😋Louis José Miquisone wa BALIT namzungumzia Ally Ajali Juma mtu na aka zake za kutosha wengi mnamjua kama Captain Kiss wengine mnamwita Konde na majina mengine mengi! Katika pitapita zake kadaka mchongo huu ni tofauti kidogo alikaa akawaza kama watu tunainvest kwenye platform X baadaye tunapigwa sasa tufanyeje? Akatafta mchongo kumbuka hapo mhuni hana pesa lakini kama ujuavyo wamakonde kwa bahati walivobarikiwa mfano ni Harmonize mnaelewa alivobahatika hadi apa alipo sasa, kwa Kiss napo sio haba ametusua katika hili mchongo alokuja nao yan ni wa kibabe sana! Sema kimeumana...... Unadaka link unafungua akaunt unapewa kazi ya kuzifanyia dollar wanazokupa mwisho wa siku unaenda benki kuchukua mshahara wako kibosi au wajanja wanasema kibosi.
Kwani Pama wanasemaje.......?
Konde kawatoa stress yalotokea Pama yabadilishwa na Mmakonde huyu
©BALIT COHU UDSM
Written by Eliaman
JOSEPH EDWARD
Lugembe Media™
🙆🏼♂️
JibuFutaI got you guy
Futa