Kumekucha!!!!!!!!!!
Mbosso kutoka chama kubwa WCB ameamua kuachia audio rap version yake aliyoshirikishwa na kijana kutoka pande za Igunga namzungumzia Mesh Love. Karibu tuisikilize alika na mwenzio tuje kuiskiliza kwa pamoja nyimbo hii naamini utaipenda/
Mesh Love |
Tags
Michezo na Burudani