JES"TINER EP II By Tinner Rober

 MTUNZI: TINNER ROBER

SIMULIZI: JES"TINNER.                        

SEHEMU:  02.


   """" Ile anageuza macho, nyuso zao zilikutana uso kwa uso na kijana yule, alipigwa butwaa, akataharuki''''  hapohapo UA aliokuwa kashikilia mkononi lilianguka chini na kuachana vipande vipande, ile anainama kuokota UA lile,,    Mara ghafura sauti ilisikika upande wa pili ikisema """ 


Songa nayo SEHEMU ya pili,,,,,, 


"""Waoooo Johnson,, sikutegemea kama utafika hapa, umefanya kile ulichoniahidi na umekitimiza..


 Ni mkaka mmoja alisikika akisema maneno hayo dhahiri wanafahamiana, na Johnson na waliwekeana ahadi hapo nyuma kuhusu ujio wa Johnson kufika kwenye sherehe ya Jestinner.



  "" Johnson alielekea moja kwa moja kwa MC, aliomba maiky na kuzungumza akisema,, "" Ndugu wageni waalikwa, wazazi, marafiki napenda kuwapongeza saana kwa kuamua Siku ya Leo iwe ni siku ya kumpongeza Dada angu, rafiki yangu kwa hatua hii najua masomo yanachangamoto zake muda mwingne unakata tamaa, hasua katika mitihani ya hapa na pale, lakini Leo hii umejitahidi kwa kiwango kizuri nitatoa zawadi kwa wazazi pia kwa Jestinner. 


"""""Kwa wazazi natoa funguo ya gari kwa familia hasa itamsaidia Mzee Budagala katika kazi yake kwa biashara yake na hii itamsaidia kusambaza dagaa kwa urahisi Sana'a, 

""""""kwa mama nitamuongezea mtaji wa biashara yake ya nguo atachukua mzgo Mara tatu ya asilimia anayochukulia mwanzo, 

""""""na kwa mgeni wetu rasmi ntatoa zawadi ya vitabu, na vitini vya masomo yake yote zaidi na microscope itamsaidia kujifunza zaidi kwa vitendo hasa katika maabara uchunguzi wa wadudu;, Ahsanteni sana.


   """"Johnson aliludisha maiky na kuelekea kwenye seat yake kukaaa. Aliaacha watu wameduwaaa" na minong'hono ikiendelea "" Huyu anajiita Johnson, anatoka wapi? Na anakazi gani? Na hizo zawadi yee katoa wap? "" Anaonekana in kijana mstaarabu sana hadi tembea yake, mhuuuu au bwanake"" hakika kapata huyu binti. 


****Kwa upande wa wa wazazi wa Jestinner,, nawao waliwaza hichohicho"" mzee Budagala ""inakuwaje kijana huyu kutoa zawadi zote hizi mbona sielewi''', 

"""Mama Jestinner alimwambia hebu achana na maswali mengi hayo tutayajua badae tufurahii Kwanzaa huenda ndo bahati hii Mme wangu.


   ***Jestinner hakuamini macho yake kwa tukio lilojitokeza mbele yake muda mfupi tu mambo yamebadilika kiasi kilee hakuwa na jinsi tena. 

  "" Jescar,,, alimbonyeza, Jestinner "" acha kuduwaaa wee ukiduwaa hivo wazani hii itakuwa sherehe sasa, hebu Fanya kama hujui kilichojitokeza baadae tutamtafta vizuri Johnson atatuambia tu kwanini imekuwa ghafura hivi!!!! Naona kama imekuwa Surprised hii haijawahi tokea......

       Ook,,,, nimekuelewa'' just relax my Tursky'''!!! 


     """""**Hatimaye sherehe ilimalizika  kila mtu alielekea kwake, kwa upande wa ndugu wa nyumbani kwa Jestinner waliendelea kukusanya zawadi na kuweka sawa baadhi ya vitu  mahali pake, tayari kwakuondoka walitumia usafili wa gari walioachiwa na Johnson.


    """" Jestinner na Jescar kwa pamoja walimtafuta Johnson faragha mazungumzo yalikuwa hivi:---


  """"Jestinner " Hivi Johnson, nani alikwambia uje kwenye sherehe yangu na hizi taarifa kakupatia nani mbona wewe sio muelewa, sahizi wazazi wangu watanichukuliaje, on a ulivofanya ukumbi mzima waduwae, ntakuwa mgeni wa nani Mimi, wazazi wanguu naenda kuwambia nini???


    ""Jescar""" Kiukweli Johnson sijapenda hata kidogo vitu vyote hivo umefanya huku sio kama kwenu ulaya, vitu vingne uwage wauliza kwanza, hii bongoo, OK, basi mnajuana nyie wenyewe na Jestinner, muyaweke sawa"".


   """" Jestinner " Nooo, Jescar,,, wapi Mimi niliwahi kukwambia maswala ya Johnson, kama hayaaa si wote tumemwona anaingia ukumbini, tena Mara ya mwisho kuonana ilikuwa nipo kidato cha tatu, akarudi kwao ulaya sikuwa na mawasiliano nae tenaa"" nawewe wataka nigeuka!!???""

  

   """"Mabishano yalizidi kuendelea ya hapa na pale huku Johnson akiwa na rafiki yake Joely, wakiwatizama bila kutoa neno lolote lile.  

 

     ""Johnson alisimama taratibu kumsogelea Jestinner, huku akimshika mkono na macho yake maangavu aliyaelekeza uso kwa uso na Jestinner."" Jestinner alibaki kaduwaa hakuamini kama Johnson, anaweza akawa jasiri vile kumsogelea mbele yake. 

     

     ""Johnson alimtazama Jestinner na kusemaa "" nisamehe Mimi nimekuwa msumbufu kwako, ndo maana kila ninachofanya kwako nakosea, nimekuwa in kipofu asiyeona sijafanya hivi ili nifurahishe umati, au kuonekana Mimi Nina pesa nimefanya hivi kwa sababu Nakupenda, kamwee sitaacha ""kukupenda"" "na siku zote penzi la dhati huwa halifi""       

      '''wewe nenda chuoni kazingatie masomo, elimu kwako ikawe ni ufunguo wa maisha, I promise  nitareturn back kwa ajiri yako. Johnson,  "alimkumbatia Jestinner'" nakumkiss kwenye paji la uso na kumsindikiza kwa maneno "" remember my promise, nakumuachia kitabu kidogo kilichoandikwa kwa herufi kubwa "JES"TINNER" kisha aliondoka na rafiki yake Joely, huku akiwaacha Jestinner na Jescar wameduwaa!!!"


   **Nyumbani kwa Jestinner baada ya wiki moja ** "

Wageni na ndugu waalikwa waliweza kurejea makwao huku maandalizi ya familia mbili ya mzee Budagala na familia ya mzee Leonard ilikuwa tayari kwenye maandalizi ya watoto wao kuendelea na masomo ya uuguzi ni takribani mwezi mmoja ulibaki ili wakaanze masomo yao. 


   """Hatimaye siku ziliwadia za kwenda shule, ilikuwa ni Majila ya Saa tatu asubuhi Jestinner na Jescar', tayali walikuwa stand kila mtu alikuwa na shauku, yakufika chuo cha " Kibiti nursing " japo furaha yao ilitandwa na huzuni nyingi hasua kwa mkoa huu ilikuwa ukiongoza kwa maafa, watu walikuwa wakiuana, vifo , unyanyasaji, vyote viliukumba mji huu. Hii iliwafanya wawe na mashaka sana, walijitia moyo kwa kusema ""Daima mbele nyuma mwiko" 

    

      ""Muda ulizidi kusonga mbele abiria wote tayali walikuwa wameenea kwenye gari na muda ilikuwa umeisha tayari gari kuondoka stand.  "" sauti ilisikika ikiita kwa dirishani Jestinner!! Jestinner!!!! Jestinner!!!!,,,  


     "" Jestinner aligeuza kichwa nje alimuona  ni kijana alivalia proval nyeusi na kofia nyeusi alitoa bahasha mfukoni mwake na kumpatia Jestinner kisha aliondoka huku akiwa hajasema chochote""  Jestinner, '" Alipokea bahasha ile nakuiweka kwenye begi, huku akimwangalia kaka yule akiwa anaishilia na kumpungia mkono''  

   

"""Huku safari ilizidi kuendelea wakipiga story za hapa na pale mpka usingizi ukawachukua baadae walikuja kugutuka wakiwa wamefika singinda "Singapore" abiria walishuka kula""". Jescar " aliingia hotelini na kuleta chips kavu na mishikaki pamoja na Pepsi take away mbili. ''Kwa pamoja waliendelea kula na kufurahi pamoja. 

"" Baadae Jestinner, "" alikumbuka bahasha ile aliopewa na kijana yule, akaamua kuiangalia ndani yake kulikuwa na mini na hii ni baada ya kushiba""


 ""Jescar"" nimeona umepatiwa bahasha dirishani ni nani huyo kwanza alikuwa ???


""Jestinner"" sijajua huenda ni marafiki zetu tu wanatutakia safari njemaa"""


"" Jescar "" acha tuisome, "" Je?  """Yaliyomo yamo kweli???"""


"" Jestinner """ Hahahaaahaaaa!!! Una mambo kweli ujanja ujanja wako haujaisha kweli, na 

             Na huku utawasumbua nawewe ukawe mkmya kama Mimi et,,,

""" Jescar,, """Thubutuuu ndo kwanza mcharuko navopenda kuongea hivo tena wakalete za kuleta vifinyo vitawahusuuu hafu waoo wanachongaje kiswahili ''Leo hii Mimi na wewe na kiswahili,  "kimepalama'' 


Jestinner, Jescar,,, """ Hahahahaaaa!!!!! Wanalooooo!!!!

  

  "" Acha nione Kwanzaa maajabu ya musa kwenye bahasha kabla ya filauni hayajatukuta huko twendako"""..... Jestinner alichukua bahasha ile kuitizama kwa juu iliandikwa maneno yenye rangi nyekundu yaliyosomeka "" Ubaya wa kutu huvutia kwa mnunuzi wa Dhahabu"" baada ya kufungua bahasha hiyo kwa ndani kulikuwa na barua moja ile anaanza kuisoma moyo wake ulienda kasi naku,,,,,,,,,,,,,,,, 


  ,,,,,,Itaendelea sehemu ya tatu ,,,,,,,,,

 

  Usikose kisa hiki cha "Jes"tinner" naamini utajifunza mengi katika maisha kizaazaa kimeanza mapema na hapo nyuma ya pazia usimsahau Johnson . Like, share nilete sehemu ya tatu chapu..

Joseph

Karibu tuweze kujadili na kupakua habari mpya zilizojili Afrika, Tanzania na pia hata Kidunia kwa ujumla

Chapisha Maoni

I, (taja jina lako/indicate your name)

Mpya zaidi Nzee zaidi