Na Joseph Lugembe
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mtaani tangu tu kutangazwa kwa ongezeko la tozo mpya za miamala ya huduma za mitandao haya hapa ni baadhi ya maoni ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam UDSM
Tags
Siasa
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mtaani tangu tu kutangazwa kwa ongezeko la tozo mpya za miamala ya huduma za mitandao haya hapa ni baadhi ya maoni ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam UDSM
Hili swala lijadiliwe kwa kina zaidi maana watanzania wengi hasa walioko vijijini wanategemea Sana kupokea miala yao kwa njia ya sim kwahiyo serikali ijaribu kurudisha tozo ambazo zilikuwapo hapo awali ili kurahisisha upokeaji na utumaji wa pesa kwa njia ya sim 🙏🙏
JibuFuta